Genesis 3:16

16 aKwa mwanamke akasema,

“Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako;
kwa utungu utazaa watoto.
Tamaa yako itakuwa kwa mumeo
naye atakutawala.”
Copyright information for SwhNEN